Articles

Affichage des articles du octobre, 2013

THE DISAPPEARING SNOW KILIMANJARO, GLOBAL WARMING EFFECT?

MT KILIMANJARO SEEN FROM THE SKY

Image
Climatic change has been blamed for changing weather. If Mt Kilimanjaro was covered by snow by 80% in the 1980's, the situation has changed over these years. The situation is alarming. The nostalgic snow of Kilimanjaro is disappearing like morning broom. Expore the reality as shown in these aerial photos taken on September 4, 2013.

Huduma ya CRDB ATM Rombo

Image
Habari njema kwa Warombo, sasa unaweza kupata huduma ya kibenki kwa kupitia CRDB ATM ukiwa Mkuu. ATM (Automated Teller Machine) ni mashine inayomsaidia mteja kujipatia huduma mbali mbali za kibenki kwa masaa 24,  kama vile kuangalia salio, kutoa fedha, kuhamisha fedha, pamoja na huduma nyingine za kibenki. Kwa wateja wenye kadi za benki aina ya Visa electron na Mastercard wanaweza sasa kujipatia huduma za kibenki wakiwa Mkuu Post Office kupitia ATM ya CRDB. ATM at Mkuu Post Office, Rombo La sivyo kwa wale wenye kadi za NMB zisizo za aina ya Visa electron, wanaweza kuendelea kujihudumia kwenye NMB ATMs Mkuu na Tarakea hadi NMB itakapofunguka macho na kuweka ATMs zinakubali benki za benki nyingine... Mambo ya sayansi na teke linalokujia.... Mkuu, Rombo

Je Wakifahamu Tumaini Bakery, Kiwanda cha Mikate Rombo?

Image
Kwa miaka mingi ilikuwa desturi kununua mikate Moshi au Himo pindi watu wanapoenda Rombo kwa likizo au kusalimu ndugu jamaa na marafiki. Kwa sasa waweza kusahau kabisa bugudha ya kusafiri na mizigo na mikate kwani mikate na bidhaa nyingine zinapatikana Rombo. Bidhaa safi na bora zinatengenezwa ndani ya wilaya ya Rombo. Mkate ulio tayari kuuzwa Mikate iliyo tayari kuwekwa kwenye mifuko ili kuuzwa Onja Tumaini Bread na bidhaa nyingine maarufu kutoka Tumaini Bakery kiwanda kilichopo Mkuu, Rombo. Tumaini Bakery ipo Mkuu Mjini karibu na Hospitali ya Huruma. Sr Mary Lauda (kushoto) na mwokaji wa mikate (kulia)