Google+ simplisphoto

Translate

Saturday, September 6, 2014

A Maasai Boy's Invention Protects Cows From Lions

Get inspired by young genious Maasai boy Richard Turere. This 13-year-old Maasai boy has invented a system to protect his father's cattle from lions.In this short, inspiring talk, the young inventor shares the solar-powered solution he designed to safely scare the lions away. Courtesy: www.ted.com

Tuesday, August 12, 2014

Kilimo: Ajira Mbadala Kwa Vijana Tanzania

Nchini Tanzania inakadiriwa kuwa zaidi ya vijana 900 000 wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka. Hata hivyo ni ajira 50 000 hadi 60 000 tu mpya zinazopatikana kwa mwaka hivyo kuwaacha vijana wengi wakiwa hawana kazi. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, mishahara midogo kwa wale wenye ajira rasmi, baadhi ya vijana wameamua kuwekeza kwenye kilimo kama njia mbadala ya uzalishaji mali.

Mike Utouh na Roman Massawe ni baadhi ya vijana walioamua kuwa wakulima wa vitunguu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ili kujipatia mapato mbadala.Kilimo: Ajira Mbadala kwa Vijana by Simplisphoto

Monday, August 4, 2014

Blessing of the foundation stone of Bishop Durning Home at Usa River

On Thursday 24th July 2014, spiritans and students of Usa Seminary gathered at Usa Seminary to witness the blessing of the foundation stone of the home for the sick and elderly Spiritans.

At around 11 am, Rev Bishop Augustine Shao CSSp (Bishop of Zanzibar) presided over the ceremony on the eve of the second Tanzania provincial chapter. A number of delegates to the chapter, spiritans working in Tanzania, and students of  Usa Seminary participated at the ceremony.


Bishop Durning Home at Usa River by Simplisphoto The new home for elderly and sick confreres will be known as Bishop Denis Durning Home in honour of Bishop Denis Durning CSSp, former bishop of Arusha Catholic Diocese.

Saturday, June 21, 2014

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KUTOKA SHULE ZA KATA YA SHIMBI

KUTOKA SHIMBI SEKONDARI

S/N EXAM NO. JINA LA MWANAFUNZI SHULE ATOKAYO SHULE AENDAYO MASOMO
S1708/0062 African Kimario Adelard Shimbi Kifaru HGE
S1708/0068 Anold Woiso Primusi Shimbi Same PCB
S1708/0071 Daniel Kiwango George Shimbi Kazima ECA
S1708/0072 David Kavishe Bonifas Shimbi Kigonigoni HGK
S1708/0073 Deodatus Bongole Silvest Shimbi Matema Beach EGM
S1708/0077 Emanuel Maria Marki Shimbi Lyamungo EGM
S1708/0093 Imani Appy Emanuel Shimbi Tukuyu PCB
S1708/0095 John Mtey William Shimbi Myovozi KLF
S1708/0096 Joseph Sway Wilbard Shimbi Kazima PCB
S1708/0102 Livini Moshiro John Shimbi Nyerere Migoli EGM
S1708/0104 Michael Maria Priscus Shimbi Mkuu PCB

Saturday, May 3, 2014