Google+ simplisphoto

Monday, June 18, 2018

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano Mkuu Sekondari

Hii ndiyo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule ya sekondari ya Mkuu, wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro. Bonyeza kiunganishi hiki kupata orodha kamili: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo kutoka Kwaikuru

Hawa ndio wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo kutoka Shule ya Sekondari Kwaikuru. Tazama orodha kamili kupitia kiunganishi hiki: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo kutoka Mlambai 2018

Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo kutoka shule ya sekondari Mlambai. Kupata majina yao, tafadhali bonyeza kiunganishi hiki: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO/VYUO 2018 KUTOKA SHULE YA SEKONDARI SHIMBI

Wanafunzi wafuatao kutoka shule ya kata Shimbi Sekondari wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano/chuo kwa mwaka wa masomo 2018. Kupata majina yao, bonyeza kiunganishi hiki: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Tanzania 2018

Wanafunzi wafuatao wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano au chuo nchini Tanzania baada ya kuhitimu kidato cha nne. Ili kupata orodha rasmi, unaweza kutumia namba ya mwanafunzi (namba ya mtihani kidato cha nne), jina la mwanafunzi, shule atokayo au shule aendayo ili kupata maelezo kamili. Bonyeza kiunganishi hiki kupata kanzidata: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Kwa hisani ya www.tamisemi.go.tz

Thursday, February 1, 2018

2017 CSEE FORM FOUR RESULTS

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIESCLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET


A

B

C

D

E

F

G

H

I

J

K

L

M

N

O

P

Q

R

S

T

U

V

W

X

Y

Z

Wednesday, January 31, 2018

CSEE 2017 RESULTS ST RUFINO AND RONALDO AGRICULTURAL SECONDARY SCHOOL

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS

S1530 ST. RUFINO AND RONALDO AGR. SEC. SCHOOL

DIV-I = 15; DIV-II = 62; DIV-III = 5; DIV-IV = 0; DIV-0 = 0