Articles

Affichage des articles associés au libellé mkate

Je Wakifahamu Tumaini Bakery, Kiwanda cha Mikate Rombo?

Image
Kwa miaka mingi ilikuwa desturi kununua mikate Moshi au Himo pindi watu wanapoenda Rombo kwa likizo au kusalimu ndugu jamaa na marafiki. Kwa sasa waweza kusahau kabisa bugudha ya kusafiri na mizigo na mikate kwani mikate na bidhaa nyingine zinapatikana Rombo. Bidhaa safi na bora zinatengenezwa ndani ya wilaya ya Rombo. Mkate ulio tayari kuuzwa Mikate iliyo tayari kuwekwa kwenye mifuko ili kuuzwa Onja Tumaini Bread na bidhaa nyingine maarufu kutoka Tumaini Bakery kiwanda kilichopo Mkuu, Rombo. Tumaini Bakery ipo Mkuu Mjini karibu na Hospitali ya Huruma. Sr Mary Lauda (kushoto) na mwokaji wa mikate (kulia)