Articles

Affichage des articles du juillet, 2011

MAENDELEO YA UJENZI BARABARA YA ROMBO MKUU-MWIKA-KILACHA-MARANGU

Image
 Wengi wametaka kujua juu ya maendeleo ya ujenzi, zifuatazo ni picha chache juu ya barabara hiyo Sehemu ya barabara Kiboro-Wilayani, iko kwenye hatua za mwisho, mitaro imekamilika kwa kiasi kikubwa na alama za barabarani zinaendelea kuwekwa bila kusahau matuta ya kupunguza mwendo!!! Barabara sehemu ya Mkuu Mjini