Articles

Affichage des articles associés au libellé digital television

UPATIKANAJI WA TELEVISHENI KWA NJIA YA DIGITALI ROMBO

Image
Zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhama kutoka matangazo ya runinga kwa njia ya analojia kwenda mfumo wa digitali (digital signal), wakazi wa Rombo wanalazimika kununua 'dish' ili kuweza kupata huduma ya televisheni.  Upatikanaji wa digital signals kwa kupitia Startimes umekua ndoto! Baadhi ya wananchi wanalazimika kuwa na "madish" mawili na bado hawapati baadhi ya matangao ya Kitanzania kwa mfano, TBC.