Wengi wametaka kujua juu ya maendeleo ya ujenzi, zifuatazo ni picha chache juu ya barabara hiyo
 |
Sehemu ya barabara Kiboro-Wilayani, iko kwenye hatua za mwisho, mitaro imekamilika kwa kiasi kikubwa na alama za barabarani zinaendelea kuwekwa bila kusahau matuta ya kupunguza mwendo!!! |
 |
Barabara sehemu ya Mkuu Mjini |
Sehemu ya bararabara Mwika - Kilacha, ujenzi unaendelea... angalia picha chini:
Sehemu ya barabarabara ya Mkuu - Mwika ujenzi unaendelea, kumwaga vifusi vya changarawe/udongo, n.k.
 |
Kwamangulwa |
Tayari wasafiri wameanza kuona tofauti katika sekta ya usafiri kabla hata barabara haijakamilika
 |
Idadi ya watalii inaonekana kuongezeka? |
 |
Gari la abiria likiwa Mwika Sokoni |
 |
Kifunuka |
 |
Mkuu Mjini |
Commentaires