Articles

Affichage des articles du août, 2014

Kilimo: Ajira Mbadala Kwa Vijana Tanzania

Nchini Tanzania inakadiriwa kuwa zaidi ya vijana 900 000 wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka. Hata hivyo ni ajira 50 000 hadi 60 000 tu mpya zinazopatikana kwa mwaka hivyo kuwaacha vijana wengi wakiwa hawana kazi. Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira, mishahara midogo kwa wale wenye ajira rasmi, baadhi ya vijana wameamua kuwekeza kwenye kilimo kama njia mbadala ya uzalishaji mali. Mike Utouh na Roman Massawe ni baadhi ya vijana walioamua kuwa wakulima wa vitunguu wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro ili kujipatia mapato mbadala. Kilimo: Ajira Mbadala kwa Vijana by Simplisphoto

Blessing of the foundation stone of Bishop Durning Home at Usa River

On Thursday 24th July 2014, spiritans and students of Usa Seminary gathered at Usa Seminary to witness the blessing of the foundation stone of the home for the sick and elderly Spiritans. At around 11 am, Rev Bishop Augustine Shao CSSp (Bishop of Zanzibar) presided over the ceremony on the eve of the second Tanzania provincial chapter. A number of delegates to the chapter, spiritans working in Tanzania, and students of  Usa Seminary participated at the ceremony. Bishop Durning Home at Usa River by Simplisphoto The new home for elderly and sick confreres will be known as Bishop Denis Durning Home in honour of Bishop Denis Durning CSSp, former bishop of Arusha Catholic Diocese.