Articles

Affichage des articles du mai, 2015

MARIAN UNIVERSITY COLLEGE OPENS ITS DOORS AT BAGAMOYO

Image
Marian University College (MARUCO) will be taking students for the academic year 2015-2016 having received its accreditation by the Tanzania Commission for Universities in April 2015. Different courses will be offered by MARUCO ranging from certificate, diploma and degree courses.  Marian University -Brochure Marian University is a constituent college of St Augustine University (SAUT). It is owned by the Spiritans (Holy Ghost Fathers) of the Province of Tanzania. For more information visit the Marian University website:  Marian University College

TANZIA: MAMA EMMY SHIRIMA AFARIKI DUNIA MJINI PARIS

Image
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mama Emmy S. Shirima kilichotokea Mei mosi mjini Paris katika Hospitali ya Hôpital Européen Georges Pompidou mjini Paris.  Mama Shirima alikuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Paris tangu mwaka 2006. Mama Shirima alikuwa mgonjwa tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Mwili wa marehemu utasafirishwa kwa ndege kwenda Dar es Salaam, Tanzania Alhamisi Mei 7. Baada ya mwili kufika Dar es Salaam siku ya Ijumaa, ibada ya mazishi itafanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi Sinza Jumamosi Mei 9 saa 7 machana. Baadhi ya waombolezaji wakiwa nje ya Hospitali 'Hôpital Européen Georges Pompidou', Paris Ubalozi wa Tanzania mjini Paris ukishirikiana na Watanzania waishio Ufaransa walifanya ibada ya kuuaga mwili wa Mama Shirima leo jioni katika Hospitali ya Georges Pompidou, Paris. Ibada hiyo ilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania, wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania, na wawakilishi kutoka  balozi za Kenya, Uganda, Namib...

Union Day Speech by Ambassador Begum Taj in Paris

Image
H.E Ms Begum Karim Taj (Tanzanian Ambassador to France) addressing diplomats and ambassadors during the Union Day celebrations at the Tanzanian Embassy in Paris on April 29, 2015.