UPATIKANAJI WA TELEVISHENI KWA NJIA YA DIGITALI ROMBO

Zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuhama kutoka matangazo ya runinga kwa njia ya analojia kwenda mfumo wa digitali (digital signal), wakazi wa Rombo wanalazimika kununua 'dish' ili kuweza kupata huduma ya televisheni. 
Upatikanaji wa digital signals kwa kupitia Startimes umekua ndoto! Baadhi ya wananchi wanalazimika kuwa na "madish" mawili na bado hawapati baadhi ya matangao ya Kitanzania kwa mfano, TBC.

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog