SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANYIKA PARIS UFARANSA

Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika.
Mh Balozi Begum Karim Taj akikabidhiwa keki
Vyakula mbalimbali katika kuenzi miaka 50 ya muungano
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwa na watoto mjini Paris
Kutoka kushoto: Ndg John Kimaro (Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Kale), Mh Begum Taj (Balozi wa Tanzania) na Rainfrida Kapela (Mhifadhi Mkuu wa Mambokale Bagamoyo)
Baadhi ya Wafanyakazi na maofisa wa ubalozi wa Tanzania Ufaransa
Mh Begum Karim Taj akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania Ufaransa Mh Delly Makombe
Ndugu Mohammed Sheya akiimba wimbo wa Taifa
Hongera Mzee Sheya!!!
Mama Delly , Mh Balozi Tah na Mama Matari wakikata keki
Watanzania wakicheza muziki...
Ndg John Kimaro (katikati) akiongea na wageni wakati wa shere za Muungano
Mama Rainfrida Kapela Mhifadhi Mkuu wa Mambo ya Kale Bagamoyo
Baadaye ikawa kazi ya kufungua 'champaign' kuenzi sherehe za Muungano

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog