TANZANIA YATANGAZA UTALII PARIS KUPITIA KAMPUNI ZA KITALII

Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Diplomasia ya  uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa uliandaa hafla maalum kwa ajili ya mawakala wa safari (Tour operators) iliyofanyika mjini Paris Ijuma Februari 6 katika majengo ya ubalozi wa Tanzania.

Madhumuni ya hafla hii ni kuitangazia Tanzania na vivutio vyake vya utalii kwa mawakala wa safari (Tour operators) ambao ni wadau wakubwa kutokana na ushawishi wao kwa watalii wa Ufaransa wanaotaka kutembelea Tanzania.
Baadhi ya wadau wa utalii wakimsikiliza Mh Balozi Begum Taj

Wageni wakionja baadhi ya vyakula vya kitanzania

Ukarimu kwa wageni ni tunu ya watanzania

Picha ya jumla wa walioshiriki katika hafla ya kuitangaza Tanzania

Karibu Tanzania!

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog