Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo Tanzania 2018

Wanafunzi wafuatao wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano au chuo nchini Tanzania baada ya kuhitimu kidato cha nne. Ili kupata orodha rasmi, unaweza kutumia namba ya mwanafunzi (namba ya mtihani kidato cha nne), jina la mwanafunzi, shule atokayo au shule aendayo ili kupata maelezo kamili. Bonyeza kiunganishi hiki kupata kanzidata: http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Kwa hisani ya www.tamisemi.go.tz

Commentaires

Posts les plus consultés de ce blog