Google+ simplisphoto: Huduma ya CRDB ATM Rombo

Tuesday, October 8, 2013

Huduma ya CRDB ATM Rombo

Habari njema kwa Warombo, sasa unaweza kupata huduma ya kibenki kwa kupitia CRDB ATM ukiwa Mkuu. ATM (Automated Teller Machine) ni mashine inayomsaidia mteja kujipatia huduma mbali mbali za kibenki kwa masaa 24,  kama vile kuangalia salio, kutoa fedha, kuhamisha fedha, pamoja na huduma nyingine za kibenki.

Kwa wateja wenye kadi za benki aina ya Visa electron na Mastercard wanaweza sasa kujipatia huduma za kibenki wakiwa Mkuu Post Office kupitia ATM ya CRDB.
ATM at Mkuu Post Office, Rombo
La sivyo kwa wale wenye kadi za NMB zisizo za aina ya Visa electron, wanaweza kuendelea kujihudumia kwenye NMB ATMs Mkuu na Tarakea hadi NMB itakapofunguka macho na kuweka ATMs zinakubali benki za benki nyingine... Mambo ya sayansi na teke linalokujia....
Mkuu, RomboNo comments: